Morocco imeipiku China, Japani na India na kuwa msafirishaji mkuu wa sekta ya magari kwa Umoja wa Ulaya. Katika mwaka wa 2023, nchi hii ilipata dola bilioni 13.7 kutokana na usafirishaji wa magari.
Masoko makubwa ya magari yanayosafirishwa kutoka Morocco ni Ufaransa, Uhispania, na Italia...