usaha kwenye mkojo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Natokwa na usaha kwenye mkojo baada ya kufanya mapenzi. Inaweza kuwa dalili ya ugonjwa gani?

    Wakuu, Juzi nilicheza mechi ila nilisahau kununua kondomu aisee na leo nlikuwa na mpango baadae ila nimetoa wakati wa kukojoa nimeona kama kuna chembe za usaha kwenye njia ya mkojo. Hii inaweza kuwa nini wakuu?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…