Habari ya jumapili.
Jana tukiwa dinner na gurls, pamoja na rafiki wengine wa kiume,tulijikuta tumeingia katika mjadala juu ya maswala ya wanawake kuomba pesa wanaume na wanaume kutokupenda kuombwa hela, pamoja na swala zima la kujitambua kifikra, finance, kutafuta mali, kujenga Wealth, na kuwa...