Nimesikitishwa hii mitihani kutofanyika online badala yake wanafanya mtihani kwenye makaratasi.
Kada nyingine zimekuwa zikifanya mtihani online na kwa kiasi kikubwa ni mitihani inayoaminika zaidi kuliko hii ya makaratasi.
Tatari kumekuwa na hofu kuwa hizi nafasi huenda zina wenyewe na wengine...