Hivi karibuni ajira nyingi mno zimetangazwa Tanzania katika Kada mbalimbali. Lakini hata hivyo inaonesha wazi kua uhitaji wa ajira ni mkubwa kuliko ajira zenyewe.
Kwa mfano mwanzoni mea mwezi huu watu 2100+ Kada afisa maendeleo msaidizi usaili wa kuandika kwa njia ya computer, majibu yalitoka...
Mtihani unafanyika kwa njia ya kidigitali, cha muhimu unatakiwa ufike kwenye kituo utakachopangiwa siku ya interview mapema kabla ya saa 1 asuhuhi maana huwa kuna heka heka za hapa na pale. Mnaweza kuhamishwa darasa au kupewa maelekezo ya ziada. Kituo ulichopangiwa utakiona kwenye akaunti yako...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.