Habari, mimi ni binti ambaye niliomba ajira serikalini mwaka jana sehemu mbili (Taasisi A, na Taasisi B) kupitia utumishi na nikafanikiwa kupata na kupangiwa kazi kwenye Taasisi A. Hadi sasa nina miezi minne kazini na nimeshapata cheki namba.
Taasisi B ilikuwa bado haijaita watu kwenye usaili...
Iko hivi kwenye vyeti vyangu vya shule nina majina mawili tu hakuna jina la ukoo lakini kwenye nida kuna majina matatu pamoja na jina la ukoo.
Ni miaka minne sasa kila nikiomba kazi serikalini siitwi hata kwenye usahili shida inaweza ikawa ni hii ya utofauti wa majina na kama shida ni hii...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.