usaili wa kazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Kuitwa kwenye usaili baada ya kupangiwa kituo cha kazi

    Habari, mimi ni binti ambaye niliomba ajira serikalini mwaka jana sehemu mbili (Taasisi A, na Taasisi B) kupitia utumishi na nikafanikiwa kupata na kupangiwa kazi kwenye Taasisi A. Hadi sasa nina miezi minne kazini na nimeshapata cheki namba. Taasisi B ilikuwa bado haijaita watu kwenye usaili...
  2. Abtali mwerevu

    Usaili wa Kazi | Hadithi Fupi

    Usaili wa Kazi Konradi Kitumbo alitembea barabarani akitangaza tangazo lake, “La mgambo likilia kuna habari…” “Kuna jambo… Acha kuharibu maneno wewe!” Mpita njia alikosoa, Kitumbo akarudia, “Haya, la mgambo likilia kuna jambo…” akakohoa kidogo kisha akaendelea, “mwezi ujao kuna usaili wa kula...
  3. R

    Msaada: Ni maswali yapi huulizwa kwenye usaili wa kuandika wa Afisa Biashara?

    Habari zenu wanajukwaa, Naomba msaada wa maswali yanayoulizwa kwenye usaili wa Afisa Biashara (written interview) Utumishi, ambayo imejumuisha Kada mbalimbali za biashara. Asanteni.
  4. D

    Usaili wa kazi uliyokuwa unafanya mwanzo kabla ya kushushwa cheo

    Habari wakuu, Ninaomba ushauri wa jambo hili. Miaka miwili iliyopita niliashushwa cheo kutokana na kutoelewana na mfanyakazi mwenzangu ambaye hayupo tena kwenye kampuni yetu. Sasa nafasi hiyo imetangazwa tena ila kwa mkoa mwingine. Na mmoja kati ya wahusika wa usahili ni kiongozi aliyekuwepo...
  5. W

    Mambo muhimu ya kuzingatia unapoitwa kwenye Usaili wa Kazi

    Fahamu mambo ya kuzingatia wakati unapoitwa kwa ajili ya Interview: 1. Fanya Utafiti kuhusu Kampuni iliyokuita kwa kufahamu Huduma na Maono yake ili majibu yako yalingane na malengo ya Kampuni 2. Elewa vizuri Majukumu ya nafasi uliyoiomba yaani (Job discription) ili uwe tayari kujadili jinsi...
  6. DINHO

    Kuna haja ya kuangalia mavazi ya mtu kwenye usaili wa kazi?

    Kwenye kutafuta ajira kuna mambo mengi sana. Wasakatonge tunahangaika huku na huko kutafuta mrija wa Asali, iwe nje ya nchi au ndani ya nchi, iwe serikali au taasisi binafsi. Sasa basi nikiwa mmoja wa wasakatonge nilibahatika kuomba hizi kazi za TRA, na mara baada ya kuomba nikafanikiwa kupata...
Back
Top Bottom