Usaili wa walimu Umehairishwa mpaka hapo utakapotangazwa.
Afya mpaka leo hakuna Pdf.
Je, kipi kiko nyuma ya haya?
1. Serikali haina Hela.
2. Utumishi wamelemewa.
.
.
Habari za leo wadau wa JF. Mimi ni Mwalim wa Kingereza Ngazi ya Shahada.
Naomba uzoefu kidogo kwa wale waliofanya usili wa Utumishi wa online wa hivi karibuni.
Je,
1. Maswali ni ya kuchagua au ya kujieleza?
2. Maswali ni ya kulenga zile duties zilizoandikwa kwenye Tangazo?
Asanteni sana...
Kuna interview zimeanza Jana Kada ya afya ila Kuna baadhi ya wasimamizi sijui ni kwa maksudi ama bahati mbaya wameamua kuharamisha mchakato mzima wa usahili.
Natolea mfano kituo cha Zanzibar Unguja kuna watahiniwa wameruhusiwa kufanya interview wakiwa hawana leseni za MCT Bali Wana leseni za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.