Tenga muda chukua wachezaji wako wote uwe unapita kuwa pitisha kwenye viwanda vyako ili waone hela ya mshahara wao inavyopatikana na unapokuwa unawapeleka usiongee nao chochote we nyosha tu vidole kwa ishara
Ukimaliza hapo wapeleke kwenye mashamba yako ya katani na miwa nako wakaone hela yao...
Usajili ni mkubwa lakini timu haiko vizuri kusema ukweli. Hata nafasi hii ya kucheza CAF championship ilitokana na TFF kuruhusu Tabora united yenye wachezaji 8 uwanjani kucheza na Azam na kujipatia pts 3 na magoli meeengiiii yaliyosababisha kuishinda Simba kwa magoli kwenye msimamo wa ligi...
Ila hawa Azam Fc wana mikwara; kabla wiki haijaisha wamejigamba kushusha mashine moja matata mnoo ukimcompare na Bukayo Saka ni kitu mulemule. Je unadhani atakuwa ni mchezaji gani huyo ?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.