Kiungo fundi wa Azam FC, Feisal 'Fei Toto' Salum inadaiwa amepokea ofa ya Tsh milioni 600 kutoka kwa miamba ya Soka, Simba SC, ikiwa ni malipo ya kusaini mkataba wa miaka mitatu. Simba wapo tayari kulipa kwa mafungu ya Tsh milioni 200 kila mwaka.
Soma: Mwigulu: Feisal ukishatoka Simba uje...
Simba ilipambana sana kuisaka saini ya winga machachari aliyeitumikia AS Vita kwa mafanikio, Elie Mpanzu lakini jitihada hazikuzaa matunda baada ya mchezaji huyo wa DR Congo kutimkia Ubelgiji kwa ajili ya majaribio lakini hakufanikiwa na kurudi kwao Congo.
Taarifa mpya ni kwamba Mpanzu...
Mdau wa michezo, Mwigulu Nchemba ambaye pia ni Waziri wa Fedha, ameeleza matamanio yake ya kuona kiungo wa Azam FC na timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars", Feisal Salum (Fei Toto) akiichezea klabu ya Singida Big Stars baada ya kuvitumikia vilabu vya Yanga, Azam na Simba.
"Mwanangu buana...
Inaelezwa kuwa Winga hatari wa DR Congo, Ellie Mpanzu amefeli majaribio yake na KRC Genk, kwa sasa amerejea Kishansa kuangalia mustakabali wa maisha yake, ukweli ni kwamba Mpanzu hataki tena kucheza AS Vita Club, ingawa bado wanajaribu kumshawishi.
Inaelezwa kuwa Simba wapo kwenye nafasi nzuri...
Niliongea na tajiri Mo akanisikiliza. Tajiri alikuwa kachafukwa. Aliona dharau zimezidi mtaani. Kaenda Uarabuni kabeba chuma kingine.
Simba misimu hii miwili imechukua wachezaji wawili ACTIVE kutoka timu za Uarabuni, tena timu kubwa. USMA ndiyo wale waliwapiga mabomu vyura usiku na mchana na...
Clement Mzize ambaye anadai kuzaliwa 2004 , yani sasa ana miaka 20 ambaye kwa sasa mkataaba wake na Yanga umeisha amegoma kusaini mkataba mpya.
Mzize amegoma mkataba mpya na anataka kupandishiwa dau.
Ikumbukwe Mzize alikuwa "afisa usafirishaji " -bodaboda Pale Igumbilo Iringa akivaa yebo yebo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.