I salute you kinsmen.
Usajiri ule wa dirisha kubwa na hili dogo team mbalimbali zimesajili ikiwemo simba na yanga .
Usajili ni patapotea ila kwa kiasi kikubwa usajili ni akili ya viongozi na utashi wao wasiingie chaka.
Simba ndiyo team inayoongoza kupata hasara kwa wachezaji iliowaleta msimu...
Tunapoelekea nusu ya msimu mimi Mkaguzi Mkuu wa Sirikali.
USAJILI WA DUBE
Wanachama waangalie jambo hili wakiwahoji viongozi wao. Hizo Milion 700 za kumnunua Dube alikula nani? Tunapoangalia katika misimu ambayo Dube amechezea Azam ni minne. Ambapo ameibuka na magoli jumla 32. Wastani wa magoli...
Nimeutizama mpira jana safu yetu ya ushambuliaji ukimtoa Ateba hakuna mwingine aliyekuwa anaelewa nini timu inatakiwa kufanya.
Nikiri tu kusema Simba tumepata kocha mzuri sana ila tatizo lipo kwenye magarasa aliyoletewa na yale aliyoyakuta.
Najiuliza aliyemleta Mutale na Ahoua alifikiria nini...
Nimekuwa nikifuatilia maendeleo ya ligi yetu ili uwezo binafsi wa wachezaji, siachi kuangalia ligi iwe Pamba vs JKT au Fountain gate vs Namungo.
Wachezaji watatu wwmenikuna sana msimu uliopita na msimu huu bado wanauwasha moto vibaya sana.
Viungo hawa ni viungo 2 wa KMC yule Ibrahim Elias na...
Wanamkusanyia wachezaji wapya kocha ajae badala ya kusajili wachezaji kutokana na philosophy ya mwalimu. Nimemsikia kocha mpya wa Singida black stars akitoa angalizo kuwa viongozi wamesajili 90% ya wachezaji bila ushauri wake.
Robertihno na Benchikha waligomba kuhusu wachezaji waliowakuta. Sasa...
Yaani GENTAMYCINE na akina Magori pamoja na Mafia wengine akina Nkwabi na Idi tuweke Silaha zetu chini na turejee Kuipambania Simba SC yetu kwa kutumia ule ule UMAFIA wetu unaoogopeka na Washamba wa Mafurikoni halafu Isisajili vyema, isifanye vyema na isichukue Ubingwa au kufika mbali CAFCC na...
Yaani natamani Siku nipate bahati ya kukutana na Viongozi wa Simba SC ili niwapige vibao kwa hasira kwani wananikera hadi basi. Niwaambieni mara ngapi nyie Viongozi wa Simba SC na mnielewe? Inonga na Chama ni virusi wakuu ndani ya Wachezaji wa Simba SC kwanini mnawabembeleza hivi ili kuwabakiza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.