Tunapoelekea nusu ya msimu mimi Mkaguzi Mkuu wa Sirikali.
USAJILI WA DUBE
Wanachama waangalie jambo hili wakiwahoji viongozi wao. Hizo Milion 700 za kumnunua Dube alikula nani? Tunapoangalia katika misimu ambayo Dube amechezea Azam ni minne. Ambapo ameibuka na magoli jumla 32. Wastani wa magoli...
Mechi ya Leo kati ya yanga na Augsburg miamba ya soka ujerumani imetuonyesha picha halisi ya kikosi Cha wananchi.
Timu imetulia, inacheza soka la kitabuni, Inacheza kitimu bila kujali wanacheza na timu iliyo daraja la juu kabisa inayocheza ligi kuu ya ujerumani bundesliga!
Hii inaonyesha...
Niseme ukweli kuwa nampongeza mwekezaji kuamua kusajili vijana wadogo ambao ni wazi wengi hupambabana kuonesha uwezo wao kwani wanahitaji kuendeleza vipaji na vipato vyao kupitia soka.
Pamoja na hayo kuna kitu kinanishangaza sana.Ni jinsi mashabiki wa Simba wanavyoshangilia usajili kabla...