Nimeutizama mpira jana safu yetu ya ushambuliaji ukimtoa Ateba hakuna mwingine aliyekuwa anaelewa nini timu inatakiwa kufanya.
Nikiri tu kusema Simba tumepata kocha mzuri sana ila tatizo lipo kwenye magarasa aliyoletewa na yale aliyoyakuta.
Najiuliza aliyemleta Mutale na Ahoua alifikiria nini...
Wakati simba wanasijili bila kocha tuliongea na kusema sio utaratibu ila mashabiki wa simba walitukebehi na kutubeza amekocha kocha kuna baadhi ya wachezaji amesema haridhishwi nao kama lakred, ngoma, koblan na onana.
Mpaka sahivi timu imeingia gharama nyingine ambazo hazikua na ulazima za...
Asanteni Simba SC sasa sina deni tena nanyi baada ya kumalizana na mshambuliaji hatari na jibu tosha la ushambuliaji Victorien Adebayor
Yuko njiani kuja nchini Tanzania kumalizana na Tajiri; Tayari ameshafuatwa na Mafia Mkubwa Sasa mtatutambua ok?
Ubaya Ubwela. Kudadadeki!
Moja ya vitu ambavyo Simba na viongozi wake wanaferi ni eneo la usajili, sasa hivi wanaongelea kusajili lakini wakati huo huo hawana majibu kama mgunda wanampa timu ama lah!
Kama Mgunda anapewa timu basi wafanye usajili kupitia ripoti ya Mgunda, na kama wanatafuta kocha mpya wanatakiwa wampate...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.