Klabu ya Simba tumethibitisha kuinasa saini ya kiungo mshambuliaji Ahoua Jean Charles raia wa Ivory Coast 🇨🇮 kwa mkataba wa miaka miwili.
Ahoua mwenye umri wa miaka 22 amesajiliwa kutoka klabu ya Stella Club d’Adjamé ya nchini kwao Ivory Coast.
Katika msimu wa 2023/24 Ahoua ameibuka mchezaji...