Naanza na pole kwa watu wa maabara kwa kupewa mitihani ya watoto wa shule wakati ninyi tayari ni watu wazima wa kazini.
Nimeona niandike thread hii kabla sijafanya mtihani hiyo ili nije niisome tena nijicheke baada ya mtihani🤫😁. Bado hayajanikuta.
Inapendeza, sasa badala ya kuchagua mtu kwa...