usajili wa awesu simba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. ngara23

    TFF mnawaogopa Nini Simba, wafungieni kusajili kama kanuni inavotaka

    Simba umeshindwa kesi ya Awesu. Hairuhusiwi team kuongea na mchezaji kabla miezi 6 kwenye mkataba wake lakini Simba walifanya hivo Simba walimrubuni Awesu na kumtorosha Awesu. Simba walimpeleka Awesu Egypt pre season Simba walimtambulisha Awesu Simba day. Awesu alivaa jezi ya Simba na...
  2. Nehemia Kilave

    Klabu namba 7 kwa ubora Afrika, haya mambo ya Awesu tusiyaendekeze

    SHIRIKISHO la Soka Afrika (CAF) limetoa Orodha mpya ya Vilabu Bora Afrika kuelekea msimu mpya 2024/25 1. Al Ahly (Egypt) – 87 points 2. Esperance (Tunisia) – 61 points 3. Wydad AC (Morocco) – 60 points 4. Mamelodi Sundowns (South Africa) – 54 points 5. Zamalek (Egypt) – 48 points 6. RS Berkane...
  3. Carasco Putin

    KMC wameshinda kesi dhidi ya Awesu aliyetambulishwa na Simba SC wiki chache zilizopita

    KMC wameshinda kesi dhidi ya AWESU AWESU aliyetambulishwa na Simba sC Tanzania wiki chache zilizopita. Mimi Yanga damu ila Simba wanafanyiwa kisasi.
  4. Erythrocyte

    Simba yazidi kuboronga, kumbe Awesu naye Magumashi matupu!

    Kumbe hata mkataba wake KMC Haukwisha! Afisa Mtendaji mkuu wa KMC FC Daniel Mwakasungura amethibitisha utata juu ya usajili wa kiungo Awesu Awesu aliyetambulishwa na Simba hivi karibuni. Kwenye SportsXtra Daniel amesema sakata hilo tayari lipo TFF na maamuzi yatatolewa na wasimamizi wa...
Back
Top Bottom