Usajili wa Chama sikuufurahia.
Wachezaji Aziz ki na Pacome, wanacheza Kwa pressure na hofu maana wanaogopa jina la Chama.
Walianza wanacheza Kwa bidii ya kupitilia na ku panic kuishia kufanya maamzi ya ovyo na kubutua ovyo.
Maana wanataka kumwaminisha Coach kuwa wao ni Bora kuliko Chama...
MASHABIKI WA SIMBA WAMFATA CHAMA YANGA
"Wengi wanauliza mpaka sasa tumenufaika vipi na utambulisho wa Chama. Mpaka sasa tumepokea taarifa za mashabiki wa upande wa pili ambao wamehamia Yanga akiwemo Baba Kamwe nae amemfuata Chama. Wote waliohama tunawaandalia siku maalumu ya kuwapokea" Ally...
Kila mtu anakiri kuwa usajili wa Chama ni usajili mkubwa. Najua wengi wanauliza kwanini hatujamtambulisha Chama na jezi ya Yanga. Mtiririko wa matukio ya usajili huu wa Chama kwetu ni fursa. Najua wengi wanatamani kujua Chama ataonekanaje na jezi ya Yanga. Hapo ndipo tunalenga kuuza usajili huu"...
Salaam Wakuu..
Nashangazwa na hizi kelele za midundiko na kukata viuno tunazopigiwa na wajuaji wa mitaa ya Twiga na Jangwani pale Kariakoo.
Hawa wanashangilia leo kumsajili Chama, yule yule ambaye miaka yote walikuwa wakituaminisha ni mchezaji wa mechi ndogo.
Ina maana huyu Chawa amegeuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.