Uongozi wa Klabu ya Singida Black Stars unapenda kuwajulisha wadau na mashabiki wetu kuwa tumeona taarifa zinazosambaa kuhusu maslahi ya mchezaji wetu Israel Patrick Mwenda tuliyemsajili msimu huu 2024/2025 kwa Ada ya TZS 200m.
Makubaliano ya mkataba yaliweka kiasi cha pesa kinachotakiwa...