🗒️30 Julai, 2024
📍UVCCM HQ
Katibu Mkuu wa Umoja wa Vijana wa Chama Cha Mapinduzi Ndugu Jokate Urban Mwegelo (MNEC) ameshiriki kusimamia zoezi za usajili wa wanachama kwenye mfumo Kielektroniki wa Chama Cha Mapinduzi kwa kupita kwenye Vijiwe vya Boda boda kuongoza zoezi hilo la kuwasajili...