usajili wa lameck lawi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Waufukweni

    Simba wakubali yaishe kwa Lameck Lawi, aanza kwenye kikosi cha Coastal Union dhidi ya Mashujaa FC

    Beki wa kati, Lameck Elias Lawi, ameanza rasmi leo katika kikosi cha Coastal Union kinachocheza dhidi ya Mashujaa FC, mechi ya ligi kwenye uwanja wa KMC Complex. Lawi amejiunga na Coastal Union baada ya majadiliano ya muda mrefu kati ya Simba Sports Club na Coastal Union, ambapo Simba ilikubali...
  2. L

    Toeni ufafanuzi kuhusu mchezaji Lawi, mnakurupuka tu

    Mliposti kwa madaha kuwa mmemsajili beki wa Coastal Union, mkamsifia kuwa ni beki la kazi, beki katili, sasa Lawi ameonekana kwenye camp huko akijiandaa kucheza Cecafa. Wajibuni mashabiki maandazi nini kimetokea, maana mnakurupuka tu. Basi utasikia mashabiki mazuzu wakisema kuwa Lawi hana sifa...
  3. B

    Simba tafuteni mbadala wa Lameck Lawi wakati mkisubiri hatma ya mgogoro huo

    Salaam, Viongozi wa Simba mnapaswa kufanya usajili kutafuta mbadala wa LAMECK LAWI wakati mkitafuta suluhisho la mgogoro huo. Msisubiri muda unaenda sana. Tafadharini najua mtaenda CAS ila kwa kipindi hiki tafuteni mashine zaidi ya Lawi.
  4. Matteo Vargas

    Sitaki kuamini Lameck Lawi ndio anaenda kuchukua nafasi ya Henock Inonga

    Kama usajili wa Lameck Lawi ni kwenda kuziba nafasi ya Henock Inonga basi Simba wame-prove failure, otherwise Lawi ani-prove wrong. PIA SOMA - Henock Inonga Baka ameondoka Simba SC - Hii Dunia ina Vituko sana, eti Lameck Lawi ndiye wa kumkaba PACOME au yupo Mwingine tumsubiri? - Beki Lameck...
  5. UMUGHAKA

    Hii Dunia ina Vituko sana, eti Lameck Lawi ndiye wa kumkaba PACOME au yupo Mwingine tumsubiri?

    Usinchoshe na nsikuchoshe,Tusichoshane! Hivi huyu Beki anayeitwa "KISIKI CHA MPINGO" mliyemnunua kutoka huko kwa Ndugu zenu ndiye mnayemtegemea amkabe PACOME au labda kuna mwingine tuendelee kusubiri? Pale mbele kuna Dubwana liitwalo DUBE Kuna mpiga zeze na Marimba aitwaye ZENGELI,huyu yeye...
  6. KAGAMEE

    Maswali kuhusu usajili wa Lameck Lawi

    Maswali muhimu ya kujiuliza juu ya usajili wa LAMECK LAWI. 1). Kwanini SIMBA watambulishe picha za wanyama badala ya picha ya mchezaji husika. 2). Kwanini SIMBA wamtambulishe LAWI katikati ya SENKYU zao hali ya kuwa inaonekana bado hawajamaliza kutoa SENKYU Klabuni mwao. SIMBA walikuwa na...
Back
Top Bottom