Mliposti kwa madaha kuwa mmemsajili beki wa Coastal Union, mkamsifia kuwa ni beki la kazi, beki katili, sasa Lawi ameonekana kwenye camp huko akijiandaa kucheza Cecafa.
Wajibuni mashabiki maandazi nini kimetokea, maana mnakurupuka tu.
Basi utasikia mashabiki mazuzu wakisema kuwa Lawi hana sifa...