Kwa muda Sasa nimekuwa nikifuatilia kwa makini namba za usajili wa magari, Kuna kitu nimekiona sijakielewa. Nimeona nikilete hapa jamvini nipate msasa kidogo.
Ni kuhusu zile herufi zinazoambatana na tarakimu katika namba za magari. Katika hizo herufi ni herufi mbili tu ndiyo sijawahi kuziona...
Kamanda wa kikosi cha usalama barabrani SACP Ramadhan Ng'azi, amesema wanaanzisha msako kwa ajili ya watu wote wanaotumia kibao cha namba za usajili zenye rangi nyeusi(PLATE NUMBER), kwani rangi hiyo ni mahsusi kwa watu wa majeshi na sio watu binafsi.
Ameyasema hayo leo akiongea na wanahabari...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.