Nimewahi kuwaomba na kuwashauri mumsajili Kevin Nashon ambaye naskia Yanga wako mbioni kumalizana naye, mpira wengine tunaujua nyie mnatuchukulia poa tu.
Niliwahi kushauri kuhusu Mudathiri mkanipuuza, sasa hivi nawashauri tena Gerad Gwalala wa Coastal Union ni mali, Mtenje Albano ni mali...
Mimi ni mpenzi wa mpira nilivyoiona hii timu ya simba haiwezi kuwa bingwa ligi kuu miaka 10 mfulilizo endapo IKICHUKUA UBINGWA nipigwe ban ya maisha humu JamiiForums.
Nina uhakika Kwa ninachokiongea haitokuja kutokea simba ikabeba ubingwa maana ubingwa umeshakua Mali ya yanga miaka 10 mfululizo...
Hapo vip!
Ukweli ni kwamba usaliti ni tabia na tabia ni kama ngozi, Simba sc wanatatizo kubwa sana kwenye uongozi, kitendo cha kutompa mkono wa Thank you Manula mpaka sasa ni ishara wa uwepo wa uongozi dhaifu na wakutojitambua kwenye club ya Simba.
Manula kuna tuhuma za usaliti dhidi ya club...
Kuna changamoto kubwa sana kwenye sehemu ya fitness ya wachezaji wa Simba na hii inaweza ikawa inasababishwa na mwalimu ndo maana Kuna wakati unaona wachezaji wanatafuta walimu binafsi wa mazoezi".
Ukiangalia jinsi ambavyo wachezaji wa Simba mikimbio Yao unawaona kabisa hawana Fitness,angalia...
“Simba wana timu nzuri, wameweka uwekezaji mkubwa, tumeambiwa wameweka Bilioni 7 kwenye usajili na kuna maingizo mengine ni uwekezaji mkubwa, tulipocheza nao Mchezaji aliyenivutia ni Balua, amenionyesha kitu kizuri naendelea kumtia moyo aongeze jitihada,” Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.
Meneja wa habari na Mawasiliano wa Simba SC Ahmed Ally kupitia ukurasa wake wa instagram ameandika
"Pamoja na kushinda dhidi ya Tabora United lakini ukweli ni kuwa tunahitaji kuwapa muda zaidi wachezaji wetu waendelee kutafuta ubora wao
Tumesajili Wachezaji bora sana ambao wamefanya makubwa...
Simba kabla ya kumsajili Leonel Ateba ilikuwa imepiga hodi kwa Al Ittihad ya Misri kuulizia uwezekano wa kumsajili straika tishio wa Angola, Agostinho Cristovao Paciencia 'Mabululu', lakini ghafla mpango wao ukatibuliwa na fedha za kumwaga za Al Ahli Tripoli ya Libya ambayo ndio imefanikiwa...
Niliongea na tajiri Mo akanisikiliza. Tajiri alikuwa kachafukwa. Aliona dharau zimezidi mtaani. Kaenda Uarabuni kabeba chuma kingine.
Simba misimu hii miwili imechukua wachezaji wawili ACTIVE kutoka timu za Uarabuni, tena timu kubwa. USMA ndiyo wale waliwapiga mabomu vyura usiku na mchana na...
Hofu yangu bado ipo mpaka nikoona saa sita imefika
Suala la Feisal kwenda Simba limentesa sanaa ngoja tuone
Soma Pia: Simba yamtaka Fei Toto. wamepeleka ombi la mazungumzo Azam FC.
Nafikiri tatizo kubwa la kwanza lililopo pale Simba ni uongozi. Viongozi wa Simba wengi pale waliopo ni wazee ambao wanaishi bado kizamani awataki kubadilika na kwenda na kasi ya mabadiliko yaliyopo Sasa hivi kwenye Kila kitu.
Viongozi wa Simba wengi wakina Magori, Try again na wengine bado...
Kila nikiamka nakutana na habari mbaya za Simba tu bila kuelewa zinatoka wapi na je Viongozi kazi yao nini? Utaratibu wa kusajili kwasasa umebadilika na kuwa wa kisasa zaidi yaani uwazi na ukweli hakuna tena umafia wala njia za mkato kama ilivyo zamani ila naona viongozi wa Simba wameshikilia...
Klabu ya Simba Sc imethibitisha kuridhia ombi la mchezaji Israel Mwenda kuondoka klabuni hapo baada ya nyota huyo kudai kuwa amepata timu nyingine
Taarifa ya Wekundu hao wa Msimbazi imebainisha kuwa nyota huyo alisaini mkataba mpya wa miaka miwili lakini kabla ya kuanza kuutumikia, aliandika...
Nikiambiwa kwa sasa nitoe Alama za Kikosi cha Simba SC cha sasa baada ya Kukiona natoa ni 10% tu, ila 90% Kibovu.
Soma Pia:
Mashabiki wa Simba tukatae kukosa weledi kwa viongozi wa timu
Mangungu Simba sc hapamfai,Na Mashabiki Hawamuhitaji Mangungu.
Nawapongeza mno Mashabiki wa Simba SC kwa...
Nilivomuona sio mtulivu. Au labda hajawahi kuwa coach mkuu popote alikuwa msaidizi huko kote alikotoka, hivi Simba hawakupata cv za coach wa maana Kwa ajili ya project yao?
Coach amekuja amefanya pre season na team, wamewaona mastriker wote Mukwala na Fred na akawa ana sifia ati ana team nzuri...
Wakuu
Hii klabu haiishiwi vituko kwa kweli
Baada ya kupoteza pesa kucheza misri na madereva taxi na kurudi kukalia bomba la yanga huku wakijitapa kuwa "wamekalia kimoja tu"
Sasa wameona rasta Freddy the snake boy hatoshi na mwenzie yule Steve Mukwala pia
Then wamemua kusajili garasa la ki...
Sielewi Hawa viongozi wa Simba wanakuwa wanafikiria nini vichwani mwao lakini nahisi pale Simba bado Kuna viongozi wapigaji sana!
Uyu jamaa anayetaka kusajiliwa Kama mshambuliaji ni mzigo mwingine unaenda kuletwa pale, ukiona vilabu vya kaskazini vinamuachia mchezaji kirahisi rahisi tu ujue...
Dirisha bado halijafungwa, Simba tafuteni mbadala wa Fredy na Ngoma Tu, Halafu Kazi Imeisha
Kama umeangalia mpira sina cha kuongeza, nawakilisha kama ilivyo hapo juu.
Soma Pia: Usajili wa Freddy Micheal Koublan, Simba SC tumepigwa!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.