“Simba wana timu nzuri, wameweka uwekezaji mkubwa, tumeambiwa wameweka Bilioni 7 kwenye usajili na kuna maingizo mengine ni uwekezaji mkubwa, tulipocheza nao Mchezaji aliyenivutia ni Balua, amenionyesha kitu kizuri naendelea kumtia moyo aongeze jitihada,” Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.