Mchezaji aliyekuwa akicheza AS Vita club na timu ya taifa ya Congo DRC kama winga ya kulia, Jonathan Ikangalombo Kapela ametua rasmi kwa wananchi, Young Africans SC.
Soma Pia: Tetesi za usajili dirisha dogo Tanzania bara 2024/2025
Ndugu zangu wananchi,viongozi wenu walikosea kwenye dirisha kubwa la usajili,kwenye dirisha kubwa mchezaji aliyesajiliwa kwa usahihi ni Duke Abuya,wengine wote waliobaki Yanga imepigwa,engineer na hao viongozi wengine wamehiijumu Yanga baada ya kuona Yanga imefanya vinzuri ndani ya misimu 3...
Mshambuliaji raia wa Uganda, Bayo Aziz Fahad ambaye Mwananchi iliripoti tetesi zake za kusajiliwa na Klabu ya Yanga, hatimaye ameonekana katika mazoezi ya timu hiyo iliyoyafanya jana Avic Town jijini Dar es Salaam.
Endapo atasajiliwa, itakuwa ni miongoni mwa mikakati ya Yanga kuimarisha safu...
Nimewahi kuwaomba na kuwashauri mumsajili Kevin Nashon ambaye naskia Yanga wako mbioni kumalizana naye, mpira wengine tunaujua nyie mnatuchukulia poa tu.
Niliwahi kushauri kuhusu Mudathiri mkanipuuza, sasa hivi nawashauri tena Gerad Gwalala wa Coastal Union ni mali, Mtenje Albano ni mali...
Salaam wakuu
Katika pitapita zangu huku mjini Twitter + mtandao mingine nimeshuhudia watu mbalimbali wakijadili ubora wa benchi la Yanga ......kiasi Kwamba mbinu za Gamondi zatawala michuano ya AFCON.......Kiasi Kwamba wachezaji wa Yanga wayabeba mataifa mengi mfano ... Tanzania.(...
Kiungo wa Yanga Khalid Aucho akifanya mahojiano na Muandishi wa habari kutoka Uganda hapo jana alipoulizwa kuhusu kuondoka Yanga alijibu kuwa bado yupo Yanga mpaka Siku Injinia na Gsm waseme Aucho sasa basi
.
"Nashukuru kwa mapenzi ya wananchi na mimi nafurahi sana kucheza Yanga, mimi nipo Yanga...
𝗛𝗘𝗥𝗦𝗜 𝗔𝗜𝗞𝗔𝗡𝗔 𝗬𝗔𝗡𝗚𝗔
“Mimi sio mfanyakazi wa Yanga, Sipo kwenye orodha ya wanaolipwa na Yanga, sipati Tsh. 100 Yanga, mimi kwa maana ya Rais wa Klabu sio mfanyakazi wa klabu, wala haajiriwi na klabu, Makamu wa Rais pia, wajumbe wa kamati ya utendaji pia sio wafanyakazi wa Yanga.
“Wafanyakazi wa...
“Simba wana timu nzuri, wameweka uwekezaji mkubwa, tumeambiwa wameweka Bilioni 7 kwenye usajili na kuna maingizo mengine ni uwekezaji mkubwa, tulipocheza nao Mchezaji aliyenivutia ni Balua, amenionyesha kitu kizuri naendelea kumtia moyo aongeze jitihada,” Rais wa Yanga Sc, Eng. Hersi Said.
Wakuu umofia kwenu.
Kwa sasa sote tunajua namna gani yanga imekuwa na wachezaji imara na ushindani mkubwa wa namba kiasi kwamba ukipewa nafasi tu unakaza kweli kweli
Well kutokana na falsafa ya Gamondi wafuatao wasipojichunga watakalia kuti kavu.
⭕️ KENNEDY MUSONDA
Huyu kwa sasa amekuwa na...
Kuna taarifa kuwa boss wa AS Vita Club amemvutia waya Engineer Hersi kumweleza kuwa mchezaji Elie Mpanzu (wabongo wananwita Elia) amerudi Congo na hajafanikiwa kusajiliwa Belgium.
Boss huyo ambaye ni askari jeshi amesema kuwa mchezaji huyo yuko tayari kuja Yanga endapo atapata nafasi na...
Hata kusalimia sisalimii kifua kimenibana kwa uchungu ,hivi hawa Utopolo wanapata wapi wachezaji jamani haiwezekani kila mchezaji wakichukua anakua moto yaani hawakosei na kama wakikosea basi kidogo sana.
Mfano nimzungumzie namba 3 yao ,yule Boka dah lile jamaa refu,lina control,spidi na lina...
All other signing are the best signing so far, the best players in the pitch except;
DUBE
This guy bado anawenge la kuwa Yanga, in today's match he was the worst player in the pitch. He lost his aggressiveness that he used to have in Azam. I hope he improves.
DUBE can't press sio Yanga...
Mnatuambia Simba mpya inakuja, mnawaimbisha watu kuwa safari ijayo mnyama atakuwa hashikiki, ukiangalia yanayoendelea kwenye App ni Mzamiru, Kapombe, Israel, bado Tshabalala, Kaze, Duchu, kudadeki.Hakuna jipya hapo.
Msimu ujao ni maumivu makali zaidi ya haya ya msimu huu.Rest in Peace mzee wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.