Dirisha dogo la usajili linakuja January
Yanga Bado tuna kikosi kizuri mno
Naomba viongozi msivunje timu Kwa kuingiza wachezaji wengi
1. Mtoe kasi ya Baleke au Msonda ili muingize kiungo mkabaji aje kumsaidie Aucho ambayo energy yake inashuka
2 Beki wa kulia wa ndani ya nchi
Yao hana mbadala...
- Wydad Casablanca wanamtaka mshambuliaji Clement Mzize (20).
Ofa ya kwanza ya Wydad kwenda Yanga kwa ajili ya kuinasa saini ya Clement Mzize ilikuwa $100k Tsh 270 milioni na kipengele cha kuongeza pesa hadi kufika 400 million kutokana na Performance yake uwanjani.
Yanga wakaitupilia mbali...
Baada ya alfajiri ya Leo Yanga kumtambulisha mchezaji Bora na mkubwa sana clatus Chama.
Sasa Yanga wamehaidi kumtambulisha mchezaji mkubwa.
Tutabiri, je huyo mchezaji ni nani?
Kwa mashabiki, wanachama, na wadau wote wa michezo kwa ujumla! Habari ndiyo hiyo.
TFF na FIFA kwa pamoja wameifuta ile marufuku yao ya kuizuia klabu ya Yanga kufanya usajili.
Na hii ni baada ya mchezaji Lazarus Kambole kumalizana kwa amani na Wanajangwani.
Rai yangu kwa Yanga;
1. Timu ya...
Mapema leo, NBC Bank na TFF zimeingia ubia wa udhamini wa Ligi Kuu Soka Tanzania Bara, NBC wakiweka mezani bilioni 7.5 kwa kipindi cha miaka 3.
Moja kati ya faida anazotarajiwa kupata NBC Bank kama mdhamini ni uwepo wa nembo/chapa yake (Logo Placement), katika jezi za timu shiriki katika Ligi...
Wasalaam,
Ndugu wanajf naomba kupata updates za kombe la Kagame huko linavyoendelea na nikiwa shabiki lialia wa Yanga naomba matokea bila kufichwa!!
Nasubiria na updates za usajili kutoka club yangu pendwa naona viongozi na mashabiki tumekua kimya sana kama tumepigwa na ganzi kunani
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.