Ukiiacha mbali, KKKT, Catholic, Anglican, AIC, Mennonite, Philadelphia, Sabato, TAG, na EAGT, Makanisa mengine mengi yamepewa vibali vya Ministry na sio churchers.
Ministry ni huduma inayomilikiwa na mtu Mmoja au ni maono ya mtu Mmoja lakini churchers ni missionaries ni taasisi ambazo asilimia...