Habari wakuu jamani naomba kutoa kero yangu kwa barabara ya bagamoyo. Kwa hapa maeneo ya bunju B panatokea ajali za mara kwa mara kwa maana kuna mkusanyiko mkubwa wa watu na hakuna taa wala arama za kuvuka upande wa pili na wala hakuna matuta kwa iyo hari hii husababisha hajari za mara kwa mara...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.