Kwa kasi ya ukuaji wa teknolojia kwenye tasnia ya magari, self driving cars sio muda itakua kitu cha kawaida.
Kwa nchi za wenzetu, wameshajipanga kwa ilo na kua na sheria na miongozo mbalimbali ya self driving cars.
Wana sheria zitakazo solve migogoro endapo itatokea ajali, kutakua na...
Wakuu,
Jeshi la Polisi Tanzania chini ya IGP Wambura limetangaza mabadiliko madogo kwenye safu za uongozi wa Kikosi cha Usalama Barabarani. Katika mabadiliko hayo:
Naibu Kamishna wa Polisi (DCP) Ramadhani Ng’anzi amehamishwa kutoka Kamanda wa Polisi Kikosi cha Usalama Barabarani Tanzania...
Kutokana na ongezeko kubwa la vyombo vya moto, vyombo vya usafirishaji na mitambo mbalimbali inayotumia barabara, ipo sababu ya mitaala na miongozo ya ufundishaji au utoaji mafunzo yoyote nchini kujumuisha mada ya usalama barabarani ili kupanua wigo katika uelewa wa matumizi sahihi ya barabara...
Ligi za barabarani kati ya madereva nyingi zimesababisha majanga mengi kwa:
Madereva,
Abiria,
Waenda kwa miguu,
Magari,
Na uharibifu wa mali.
Kuna Watu leo hii ni marehemu, wakiwa wameacha wajane na yatima kwa sababu ya hizi ligi. Kuna watu leo hii ni walemavu na wamegeuka tegemezi kwa...
Jana tumepoteza watu 14 katika ajali iliyohusisha roli na magari mengine likiwemo basi la abiria mteremko wa Simike Mbeya. Kinachonisikitisha ni kwamba eneo hili lina askari wa usalama barabarani ambao badala ya kuongoza magari kutokana na hatari ya eneo hilo wao muda wote wako busy kukagua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.