usalama dodoma

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Serikali ilitangaze Dodoma kuwa jiji hatari kwa usalama wa Raia

    Baada ya tukio la kuuwawa kwa watafiti tena kwa kuchomwa moto wao na gari lao mali ya chuo kikuu tulianza kuhisi watu wa Dodoma sio watu waungwana Mauaji ya mwanamziki Mandojo, ulawiti na ubakaji, wizi kila mtaa. Sasa ni dhahiri Dodoma imeipiku Mbeya na Geita kwa matukio hatarishi. Haipiti...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…