usalama mtandaoni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Baadhi ya game wanazocheza watoto kwenye simu zinawawezesha kuwasiliana na watu wasiowajua. Unajua anaongea na nani?

    Wakuu salam, Wakati tunaongea mambo mengine tukumbushane mara moja upande wa malezi ya watoto hasa kipindi hiki ambako digitali inaenda kasi. Watoto wengi wakati huu wapo exposed kwenye ulimwengu wa digitali kupitia TV, simu, laptops, magemu nk. Leo tuongelee upande huu wa games, ambayo yapo...
  2. Tanzania yaongoza kwa Usalama Mtandaoni Afrika Mashariki na kusini mwa jangwa la Sahara

    Tanzania imeshika nafasi ya kwanza Afrika Mashariki, Kusini na Kati kwa usalama wa mtandaoni, kwa mujibu wa Ripoti ya Kielezo cha Usalama wa Mtandao ya mwaka 2024 (GCI). Tanzania imepata alama ya asilimia 100 katika nguzo zote tano za usalama wa mtandaoni, ambazo ni: kisheria, kiteknolojia...
  3. A

    TCRA ni lini mtatulinda dhidi matapeli wanaoingia kwenye account zetu za kijamii bila ridhaa yetu?

    Kama sio mhanga wa hii kadhia basi moja wa ndugu au rafiki yako atakuwa amekutana nayo .Kumekuwa na utapeli unaoshika kasi hasa mtandao wa facebook . Matapeli wanaweza kuingia kwenye account yako facebook kisha wanapost kuwa umejishindia promotion .Na walivyo wajinga wanaenda sehemu ya comment...
  4. I Stopped Using Passwords. It’s Great—and a Total Mess

    For two years, my Netflix password has been: tricke22ry-notiLonal-freely-soSak-lice-slacken. Yes, really. It is a strong, unique password, and it ticked boxes to reduce the chances of me getting hacked. But for all its security protections, the password was a nightmare to type into an onscreen...
  5. Waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC wapewa mafunzo ya Usalama Mtandaoni

    JamiiForums imeendesha mafunzo ya Usalama Mtandaoni kwa Waandishi wa Habari 25 wanaowakilisha Vyombo mbalimbali vya Habari Mkoani Mtwara kwa kushirikiana na Chama cha waandishi wa Habari Mkoa wa Mtwara MTPC Mafunzo hayo yanalenga kuongeza ufanisi kwa Waandishi katika kazi zao kwa kuzingatia...
  6. Unazungumziaje hali ya Utapeli unaofanyika kwa njia ya Simu baada ya kuzimwa kwa laini zisizohakikiwa?

    Kwa mujibu wa ripoti ya TCRA ya robo ya nne ya mwaka, hadi Desemba 2022 mitandao ya simu nchini ilikuwa imesajili jumla ya laini milioni 60.277. Laini hizo ni sawa na ongezeko la asilimia 4 ikilinganishwa na zile milioni 58.1 waliokuwapo mwisho war obo ya tatu ya mwaka 2022 yaani Septemba...
  7. R

    Nywila (password) zako ni imara au ukidukuliwa sehemu moja umekwisha?

    Utahitaji kuwa na password ili kufanya karibu kila kitu kwenye mtandao, kuanzia kuangalia barua pepe hadi benki ya mtandaoni. Na ingawa ni rahisi zaidi kutumia password fupi, ambayo ni rahisi kukumbuka, hii inaweza pia kuleta hatari kubwa kwa usalama wako wa mtandaoni. Ili kujilinda na taarif...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…