usalama tanzania

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ulinzi na Usalama wa Tanzania ni imara, wa uhakika na wa kuaminika

    Watanzania wanaishi kwa amani na utulivu sana, ukilinganisha na nchi nyingine yoyote Afrika Mashariki. Shughuli za kiuchumi mathalani utalii, biashara, uwekezaji katika sekta mbalimbali, viwanda, kilimo, uvuvi, usafirishaji na shughuli nyingine mbalimbali binafsi za waTanzania, zinafanyika...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…