Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Forums amesema ukusanyaji holela na kuzagaa kwa taarifa binafsi za watu mitaani ikiwemo makaratasi yanayotumika kama vifungashio vya chakula au madawa ni madhara ya kutokuwa na sheria inayolinda taarifa binafsi za watu jambo ambalo linaiweka pia nchi kwenye hali...
Habari za asubuhi wana JF wenzangu.
Ndugu zang baada ya kufuatilia kwa makini utendaji wa kazi unaofanywa na jeshi la polisi, pamoja na mbinu mbalimbali zinazotumiwa na makanda wa jeshi hilo katika jitihada za kupambana na uhalifu nchini, hasa kwa mkoa wenye uhalifu mwingi kama Dar es...
Tumsaidie masuala ya usalama kwenye hiyo nchi yake kubwa maana humo tunakwenda kuwekeza kichwa kichwa.
=======
DR Congo President Félix Tshisekedi arrived in Nairobi late Wednesday evening two weeks after his last trip to the city.
He was last in Nairobi early this month for the signing of...
Mwanzoni Putin alionekana ni tishio zaidi kwa usalama wa nchi za Magharibi na Marekani, ila sasa anaonekana ni tishio pia kwa ustawi wa maisha ya watu katika mataifa haya(kiuchumi na kijamii) kupitia swala la gesi na hili halitomuacha salama.
Hili swala la gesi linaongeza sababu za mataifa...
Sheria ya vyama vya siasa hapa nchini ipo wazi kabisa kuwa hakuna chama cha siasa kinachopaswa kuwa na makundi yanayojihusisha na masuala ya usalama.
Kifungu cha 8E cha sheria ya vyama vya siasa kimeweka wazi kabisa juu ya hili suala ili kulinda maslahi mapana ya usalama wa taifa letu...
Crown Prince wa Abu Dhabi ktk United Arab Emirates, Mohammed bin Zayed Al Nahyan amesema kuwa anaamini kuwa Russia ina haki ya kuhakikisha usalama wa taifa hilo (Russia) hauhatarishwi. Maneno hayo kiongozi huyo ameongea alipokuwa akizungumza kwa simu na rais wa Russia, Putin.
Viongozi hao...
Ndugu zangu watz wenzangu nadhan mtakuwa nami juu ya kinachoendelea kwa sasa katika nchi yetu
Wafanyabiashara saiz wanajiamulia bei gan watupige na kila siku wanapandisha bei hasa wakijisikia kitu ambacho ni hatar sn kwa usalama wa nchi
Kibaya zaid pamoja na bei za vitu kupanda kila siku yan...
Nawasalimu wote.
Moja kwa moja kwenye mada, Kama kichwa Cha uzi Hapo juu kinavyojieleza kwamba huu Ni mtazamo wangu TU na Kama nimepotoka nitakubali kushauriwa na kukosolewa kwa staha na matusi yote poa.
Kuna Mambo mawili ambayo huwa nayafikiria Sana lakini sipati majibu, na Mambo hayo ni...
Kutoa roho ya mtu ni tofauti kabisa na kutoa roho ya mnyama ama mdudu. Kwa mnyama sana sana unaweza kulipishwa fidia hasa kama mnyama mwenyewe ni kwa ajili ya utalii.
Kutoa roho ya mtu ukiachana na ule ugomvi wa papo kwa papo kunahitaji maandalizi yake! Na wengi kwenye hayo maandalizi hukosea...
Sio kila jambo linalohusu usalama wa nchi ni la kutolewa ufafanuzi kwa wanasiasa. Not every aspect of state security should be clarified to politicians.
Mfano wabunge wanaowakilisha majimbo mbalimbali ndani ya jiji la Dar wanaweza kuomba kujua "Informers wa Police" wote waliopo ndani ya jiji...