usalama wa raia

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. milele amina

    Kilio Cha Wananchi : Changamoto za kukosekana kwa usalama wa Raia na Mali zao, Kuelekea uchaguzi mkuu, Njia panda ya Himo Wilaya ya Moshi- Kiliman

    Utangulizi Katika eneo la Njiapanda ya Himo, Wilaya ya Moshi, Mkoa wa Kilimanjaro, wananchi wanakabiliwa na changamoto kubwa zinazohusiana na usalama. Kilio hiki kimekuwa kikubwa, kwani vibaka, wezi, na wanyang’anyi wamekuwa kero ya kimataifa. Hali hii imesababisha wananchi kutokuwa na amani...
  2. Mindyou

    Mwili wa mtu aliyefariki wapatikana ukiwa unaelekea kwenye mto Ruhiru

    Wakuu, Wakati taifa la Kenya likiwa linazizima kuhusu matukio ya utekaji na mauaji, matukio kama hayo yameendelea kushamiri. Siku ya leo mwili wa mtu mmoja aliyefariki umeonekana ukielea kwenye mto Ruhiru. Mamlaka za nchini bado hazijatoa taarifa zaidi kuhusu tukio hilo. Source...
  3. eden kimario

    hivi jeshi la polisi Tanzania linalinda usalama wa raia wa uingereza na mali zao au linalinda usalama wa raia na mali za mtanzania!!?kwa nini 1919

  4. Cute Wife

    Polisi wamtia mbaroni anayedaiwa kuwa "Afisa Usalama" aliyemjeruhi raia kwa 'kitako cha bunduki'

    Wakuu, Baada ya kuwepo kwa video zinazosambaa mtandaoni kuhusu mwanaume mmoja aliyedaiwa kuwa ni Afisa wa Usalama wa Taifa mwenye jina la Derick Junior kumpiga raia kwa kitako cha bunduki wakati akiwa kwenye 1234 club huko Masaki, Jeshi la Polisi hatimaye limetoa tamko. Kwenye tamko lao...
  5. A

    DOKEZO Masaki: Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi

    Anayedaiwa kuwa Afisa Usalama (TISS) afanya vurugu, amjeruhi mwananchi. Tukio la kutisha lilitokea jana usiku (26.10.2024) katika klabu maarufu inayojulikana kama 1245 Lounge, Bar and Restaurant iliyopo Masaki, ambapo Afisa Usalama wa Taifa anayefahamika kwa jina la Derick Junior Lima (maarufu...
  6. J

    RC Chalamila awataka wakazi wa DSM wajilinde Wao na familia zao dhidi ya matukio hatarishi badala ya kuwatupia Polisi lawama

    Mkuu wa mkoa wa DSM Albert Chalamila amewataka wananchi wa DSM kujilinda wao na familia zao dhidi ya matukio yoyote yanayoweza kuhatarisha Amani na Usalama wao RC Chalamila amesema SI HAKI kuwatupia lawama Polisi kwa kila Jambo. --- Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam, Albert Chalamila amewataka...
  7. J

    Watanzania mlioko Lebanon rudini nyumbani tafadhali mko eneo hatari sana

    Chonde chonde Watanzania mlioko Lebanon rudini nyumbani tafadhali Ni Wazi Israel haitarudi nyuma hivyo twawasihi Wakati mataifa makubwa duniani yanaondoa Watu wao nanyi rudini nyumbani Ahsanteni sana. Soma Pia: Wimbi la pili la milipuko ya vifaa vya mawasiliano Lebanon laua 20 na kujeruhi 450
  8. Lanlady

    Polisi si ndio wanaopaswa kusemea hali ya Usalama wa Raia

    Nimetafakari kauli ya rais, nimebaki na maswali mengi. Majukumu ya jeshi la polisi ni yapi? Wao si ndio wana msemaji wao? Au hapa alimaanishanisha nini? Kwamba wananchi wafanye nini hayo yote yanapotokea? Hao wengine ni akina nani ikiwa wanajitoa kusema wanaitwa wachochezi? Watanzania...
  9. BigTall

    Matukio ya Watu kupotea na wengine kudaiwa kutekwa, nini kinaendelea kuhusu usalama wa raia

    Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi la Watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha hasa ya Vijana wenzetu. Yalianza mdogomdogo lakini kadiri siku zinavyozidi Kwenda mbele kumekuwa na taarifa za hapa na pale kuhusu fulani na fulani kupotea, binafsi nimeanza kupata hofu licha ya kuwa Jeshi...
  10. jastertz

    Tetesi: Tanga: Kinachoendelea Tanga kinatishia usalama wa raia na mali zao.

    Habari, Taarifa zisizo rasmi Tanga mjini imejikuta katika hali ya sintofahamu kutokana na uvamizi wa watu nyakati za usiku na kuporwa. Waandishi wa habari Tanga wamenyamaza hawaripoti taarifa kama hizo ili watu wawe makini katika shughuli zao,,, tukio kubwa limetokea barabara ya 3 kwa...
  11. S

    Serikali ijenge Vituo vya Polisi kwa kila kata, kuwe na Magari ya wagonjwa na gari za Zimamoto

    Nashauri serikali yetu iwe na mipango ya kujenga vituo vya kipolisi kwa kila kata, pia kuwe na gari za wagonjwa, gari za zima moto. Katika huduma ya afya, nashauri maduka yote ya dawa yapewe vibali maalum vya kuuza dawa ili dawa zipatikane hospitali za kata kwa urahisi. Manaibu waziri, wakuu...
  12. N

    SoC04 Nani amtetee Raia kutokana na unyanyasaji wanaofanyiwa na vyombo vya ulinzi na usalama?

    Tanzania ni nchi salama yenye hali nzuri ki siasa, kijamii na kiusalama, lakini kama watanzania ama mtanzania napenda kusimama kuzungumza na kushauri mambo kadhaa hasa yanayohusu vyombo vyetu vya ulinzi na usalama polisi na jeshi. Polisi na Jeshi katika utaratibu wao wa kufanya kazi ni nani...
  13. Swahili AI

    Ushauri: Vituo vya Polisi viitwe Vituo vya Usalama wa Raia na Mali zake

    Naona kila kona vituo vya polisi vimeandikwa " Kituo cha Polisi" kisha kufuatiwa na jina la mahala lilipo. Sasa swali la kujiuliza, raia anamfuata polisi ama usalama wake pamoja na mali zake. Nashauri vibadilishwe majina na kuitwa vituo vya usalama wa raia na mali zake. Hii iitaboresha...
  14. Pang Fung Mi

    Vyombo vya Dola vyenye dhamana ya kulinda usalama wa raia na mali zoa havitaweza vikiwa vimekatwa makali au kufungwa kwamba

    Tafadhari nitoe rai mithili ya mpiga mbiu, nikiwa kama raia mpaza sauti, vyombo vya dola vilivyofungwa kamba kamwe havitaweza kutimiza wajibu wao kwa ufanisi na kwa kiwango cha kusudi tarajiwa,. Tufanye tafakari na kuchukua hatua, vyombo vya dola si vyombo vya kuabudu na kunyenyekea waovu na...
  15. Mganguzi

    Namwombea msamaha Paul Makonda, ni damu changa iliyozikwa mapema

    Mimi Makonda ni mdogo wangu kiumri na hata kiutumishi. Nilikuwepo wakati akihudumu kama mkuu wa mkoa wa Dar. Ni kijana shupavu asiyeyumba katika jambo analoliamini. Makonda alisaidia sana Jiji la Dar kuwa salama alikimbizana Sana na wauza madawa pamoja na waliotelekeza watoto. Alilimudu Jiji...
  16. D

    Usalama wa Raia na Mali zao: Vibaka waliokata watu mapanga nyumba 21 Chanika ni fedheha isiyovumilika

    Taarifa inasema! Vibaka walivamia katika kata tatu huko chanika na kuathili nyumba 21 Ingawa haijajulikani rasmi idadi halisi ya vibaka hao lakini haiondoi ukweli kwamba kuna uzembe katika mfumo wa ulinzi. Tukiaachana na intelijensia ya kushindwa kuwabaini hao vibaka mapema! Inashangaza kuona...
  17. masopakyindi

    IGP Sirro soma alama za nyakati, jiuzulu

    IGP Sirro alipata hicho cheo kama mkombozi wa jeshi la polisi. Tunayakumbuka mapambano yake misituni na wahalifu toka Rwanda na Burundi, huko mapori karibu na mpakani. Wakati huo akiwa kamanda wa Fiekd Force Unit, FFU. Sasa baada ya kuwa IGP, kuna matukio mengi ya kutofuata sheria za...
  18. impongo

    Nilikamatwa na Polisi na kufichwa Kituo kilichopo Dar kwa siku tatu bila kula nikipewa vitisho

    Sitaandika yote kuficha kujulikana Kwasababu za usalama wangu na sitataja Kituo (mojawapo ya vituo vya police DSM) Kwasababu walio nifanyia hayo mateso, wapo na wanaendelea na utumishi wao kuumiza wa Tanzania. Sitosahau mwaka 2021 mwezi March nilipokea simu ya mtu aliyejitambulisha kuwa ni...
  19. britanicca

    Fourth week in North Korea ( Askari na Usalama wa raia nchini Korea Kaskazini)

    Kiwango cha rushwa nchini Korea Kaskazini kiko chini sana! Askari akikamata muarifu amepewa bonus hizi 1. Kama ni mwizi wa pesa 25% ya Pesa anazookoa ni ya kwake na 75% zinaenda ziliko ibwa 2. Askari akikamata Mbakaji Au anayetembea na mtoto wa shule Au chini ya Miaka 21 anapewa 300$ Kwa...
  20. Mshana Jr

    LICENSE TO KILL: Maslahi mapana ya taifa yanapozingatiwa!

    Kutoa roho ya mtu ni tofauti kabisa na kutoa roho ya mnyama ama mdudu. Kwa mnyama sana sana unaweza kulipishwa fidia hasa kama mnyama mwenyewe ni kwa ajili ya utalii. Kutoa roho ya mtu ukiachana na ule ugomvi wa papo kwa papo kunahitaji maandalizi yake! Na wengi kwenye hayo maandalizi hukosea...
Back
Top Bottom