usalama wa wafanyakazi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Kuna uzembe wa kusimamia Kampuni za kuzoa taka, baadhi hazizingatii usalama wa Wafanyakazi

    Wakati ambao zimekuwa zikiripotiwa taarifa za uwepo wa ugonjwa wa kipindupindu katika maeneo mbalimbali nchini lakini inashangaza bado inashuhudiwa uwepo wa masuala ambayo yanaweza kuchangia na kuweka hatarini watu kupatwa na magonjwa ya aina hiyo bila kuchukua tahadhari. Inasikitisha kama sio...
  2. Dalton elijah

    Wachimba Madini Haramu 100 Wafariki Afrika Kusini

    Watu 100 ambao walikuwa wakichimba madini kinyume cha sheria katika mgodi wa dhahabu usiofanya kazi nchini Afrika Kusini wamefariki baada ya kunaswa chini ya mgodi huo kwa miezi kadhaa, huku polisi wakijaribu kuwaondoa huko, kundi linalowakilisha wachimba migodi hao limesema jana Jumatatu...
Back
Top Bottom