Kitendo Cha Shule za msingi ndani ya manispaa ya Urambo mjini mkoani Tabora kuwaruhusu wanafunzi wa madarasa ya la Saba kutoka shule Muda mbaya kuanzia saa mbili mpaka saa tatu usiku kunawaathiri kisaikolojia na kuchangia kushuka kwa uelewa kutokana na mzigo mkubwa wa masomo bila ya chakula...
Wakuu kipindi hiki cha mvua nyingi kwa baadhi ya mikoa ni hatari kwa usalama wa watoto wadogo, wazazi tuwe makini na watoto wetu hasa maeneo wanayocheza na kuwadhibiti kutoka nyumbani pindi mvua zinaponyesha ili tuwaepushe na hatari hizi.
=====
Mtoto Aliyefahamika Kwa Jina La Vicent Konga...
Mkuu wa Wilaya ya Rombo, Raymond Mwangwala, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Nurdin Babu, leo Oktoba 12, 2024 amezindua kampeni ya Tuwaambie kabla hawajaharibiwa wilayani Moshi, katika hafla iliyofanyika kwenye ukumbi wa Shule ya Polisi Moshi Tanzania (TPS).
Akizungumza wakati wa...
Katika ulimwengu ambapo watoto "wanakua kidijitali," ni muhimu kuwasaidia kujifunza dhana nzuri za matumizi ya kidijitali na uraia. Wazazi wana jukumu muhimu katika kufundisha ujuzi huu.
Weka mipaka. Jua marafiki wa watoto wako, mtandaoni na nje ya mtandao. Jua ni mifumo gani na programu ambazo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.