Imekuwa kawaida kuona wanyama mbalimbali hasa wale ambao wanaonekana hawana madhara ya mara kwa mara kwa Watu wakiwa mitaani hawana muelekeo, lakini inapotokea Wanyama hao wanaanza kusababisha madhara ndipo ambapo Mamlaka zinaibuka kuanza kuchukua hatua.
Mfano huku mitaa ya kwetu huku Dodoma...
Kituo cha Mafuta cha Oasis kilichopo Mwenge kimegeuka Kituo cha Daladala na Bajaj kiasi cha kuhatarisha maisha na kuwa kero kwa watumiaji sahihi wa kituo hicho.
Mamlaka husika shughulikieni hili kabla majanga hayajajitokeza, kwani sehemu moja iwe kituo cha vyombo vyote hivyo huku vingine...
Wakuu salama!
Kwa masikitiko makubwa na baada ya kujishauri kwa muda mrefu nimeamua hili kulileta hapa jukwaani pengine hili suala laweza patiwa ufumbuzi.
Ni Hivi Kuna mtu alikuwa anamiliki fremu za maduka zipatazo Karina nane zikiwa katika umbo la L_shaped ambazo zilikuwa zimejengwa chini ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.