usalama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Uonevu wa Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani wilayani Rombo

    Askari polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Kilimanjaro wilayani Rombo wanaonea madereva wa daladala kwa kuwaandikia faini wakiwakuta wakiwa wanapakia sehemu zenye parking na kibao kinaruhusu kupakia na kushusha. Mimi ni mhanga wa hili tukio nitashusha screenshot ya faini.
  2. Uingereza, Marekani zatoa tahadhari mpya ya usalama kuhusu Uganda

    Ubalozi wa Uingereza umetoa angalizo la kiusalama kuwa kuna uwezekano wa kutokea kwa shambulio la ugaidi Nchini Uganda, huku raia wa kigeni wakiwa walengwa, ikiwa ni Saa chache baada ya Ubalozi wa Marekani nao kutoa angalizo linalofanana na hilo. Balozi hizo pia zimewapa angalizo raia wake...
  3. Hivi idara ya usalama wa taifa wa Tanzania inahusika na kila kitu hadi uuzaji wa nyanya na vitunguu magengeni?

    Siyo mjuzi sana wa habari za idara ya usalama wa taifa, Tanzania. Lakini katika pitapita zangu humu JF, nimekutana na mada kadhaa zilizonishangaza kidogo. Mtu akienda dukani akikuta bidhaa ambayo haipendi, lawama anabebeshwa usalama wa taifa. Msanii Diamond umaarufu wake ukianza kupungua...
  4. Askari wa usalama barabarani mtatuua kwa presha

    Salam wanajukwaa, Ninyi askari wa barabarani, hivi hii tabia ya kuongeza honi, kubadili sauti ya pikipiki kwenye bomba la moshi na kulifanya linapiga kelele kama limepasuka au kama imepiga bastola hamuoni kero hiyo? Kufumbia macho mnataka kusemaje ni haki kisheria au ni uvivu ktk utendaji...
  5. Waziri Mkuu Majaliwa: Tanzania ya 4 kwa usalama wa anga Afrika

    WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Tanzania imefanikiwa kushika nafasi ya nne barani Afrika kwenye masuala ya usalama wa anga kwa kupata alama 86.7 ikitanguliwa na Nigeria, Kenya na Ivory Coast katika ukaguzi uliofanyika Mei, 2023. “Kwenye ukaguzi mwingine wa uwezo wa nchi kiusalama uliofanywa...
  6. Netanyahu akimbia nyumbani kwake. Ahamia kwa rafiki yake kwenye handaki la nyuklia kuhofia usalama wake

    Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu na mke wake Sara wamehama kutoka makazi yao na kuhamia kwa rafiki yake na bilionea wa kimarekani, Simon Falic ambaye nyumbani kwake kuna handaki la kujilinda na nyuklia. Maamuzi hayo ameyafanya kuhofia wananchi wake wenye hasira kwa jinsi...
  7. 5

    Kyiv nako si shwari, Askari wa Jeshi la Urusi watishiwa usalama wao

    Wadau naona kipindi hiki tumejikita sana Israel na Palestine, nimeona nije jambo hili pia ili kujua kinachoendelea kule Ukraine Ripoti kutoka Ikulu ya Marekani zinaonyesha masuala ya nidhamu kali katika jeshi la Urusi. Wanajeshi wanakabiliwa na adhabu ya kunyongwa kwa kutotii amri na hata...
  8. Serikali wapeni nguvu Usalama wa Taifa wazuie uovu NIDA na wimbi la wahamiaji haramu

    Nchi hii hasa serikali na mamlaka zake Mungu anawaona, naandika nikiwa na hasira sio NIDA wala Uhamiaji, au Polisi kote kumeoza. Wahamiaji haramu wametapakaa sio kwenye bar, shambani, kwa house girls, vibarua wa kufuga mbuzi, nguruwe, kuku ambao wako nchini kwenye maeneo mbalimbali wasio na...
  9. Takasa na safisha vitu na mambo yako kwa usalama wako

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Vita ya Maisha ni baina ya makundi hasimu mawili. Nuru na Giza, Juu na chini, Uchafu na usafi, Wema na Ubaya, Inuko na anguko, Mng'ao na mfubao. Kwa watu makini wanajua wazi kabisa kuwa ili mambo yako yaende lazima yasafishwe, yatakaswe, na ili mambo yako...
  10. Leo napenda kuvipongeza vyombo vyetu vya usalama na wakuu wa inchi na sisi raia

    Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu, nimekaa Congo drc nimeona mengi kuhusu usalama. Inchi ya Congo usalama ni ziro kabisa, Wanajeshi na police ni majambazi, wanatembea mtaani na bunduki za kivita kabisa mpaka baa wanaingia na siraha. Ni kama hakuna serikali kabisa,kila siku...
  11. Agenda ya Mohamed Said ina ukakasi

    Huyu mzee wangu wa gerezani aangaliwe vizuri. Nakubali ni msomi mzuri hapa nchini, nakubali ana busara ila anatumia akili zake kucheza na akili za watu. Sijawahi kusikia popote duniani mtu anajiita mwana historia kwa kubobea kwenye kata moja tu. Mohamed Said anajiita mwanahistoria lakini...
  12. Usalama wa Kununua Vitu Mtandaoni (Online Trade Assurance) Tanzania

    Habari wanajamvi, Natumaini wote tunaendelea vizuri. Moja kwa moja kwenye mada... Nimekuwa mdau wa kununua vitu mtandaoni kwa muda mrefu. Imenilazimu sana kumtuma mtu endapo nafanya biashara na "mgeni" nisiyemfahamu. Kwa mfano, mwaka jana nilinunua laptop kwa mdau mmoja Mwenge, DSM. Ilinibidi...
  13. Kama Hamas wameweza Comfortably kujipenyeza Israel yenye Usalama wa Taifa Bora, vipi nchi zingine Afrika zinazojisifu kuwa na Usalama wa Taifa tishio?

    Ngoja sasa GENTAMYCINE nijiandae kwenda zangu Site Mapinga kujenga Nyumba za Watu ( nikiwa kama Saidia Fundi ) nikipitia njia niipendayo ya Boko Magengeni kisha naingia nayo kuelekea Mbweni Malindi kupitia Chuo cha Mafunzo Yasiyojulikana nivuke Mto Mpiji na nikatize Kiaraka kilipo Chuo cha...
  14. Kazi ya Sticker za usalama barabarani ni nini?

    Wadau naomba kuuliza jambo hapa,ivi kazi ya sticker za usalama barabarani huwa ni nini? Na ni utaratibu gani unatakiwa ufuatwe ili kuzipata hizi? Maana sielewi na ninachokiona huku mtaani,kumekua na wimbi la vijana wanaosimama sehemu mbali mbali wakiwa wamevalia reflector jacket wengine za...
  15. Kwenye kupambana na foleni, je sheria hii ni kandamizi au sio kandamizi?

    Foleni ni tatizo linalosumbua wananchi wote tu. Magari ni mengi. Wenye uwezo wananunua magari yao. Magari mengine madogo, mengine makubwa ya familia. Magari ya usafiri wa umma yanabeba watu 45, 72, mia etc.... wakati huo ya binafsi yanaanzia mmoja hadi kadhaa tu. Lakini yote yanachukua...
  16. R

    Kamati ya Ulinzi na usalama wilaya na Mkoa ina mamlaka ya kisheria kugawa ardhi?

    Je, sheria ya ardhi kuna Sehemu inamtaka mkuu wa Mkoa au Wilaya na kamati zao za ulinzi na usalama wana mamlaka yakumilikisha watu ardhi? Je, kuna mjumbe wa kamati hizi ambaye ni mtaalam wa ardhi? Je, sheria inatamka kwamba migogoro ya ardhi itatatuliwa na hizo kamati za ulinzi na usalama au...
  17. Jengo la Usalama wa Taifa Urusi lapigwa bomu na drone ya Ukraine

    Dah! Sasa ikiwa usalama wa taifa (FSB) hawapo salama nani mwingine yuko salama....kama mashairi vile ==== A Ukrainian drone hit an FSB building in the city centre of Kursk, Russia, on the morning of 24 September, a source from Ukraine’s Defence Intelligence claims. Source: source of Ukrainska...
  18. M

    Hivi TANESCO kukata umeme usiku kucha si mnahatarisha maisha ya wananchi na usalama wa nchi?

    Nchi ambayo inaelewa umuhimu wa umeme nyakati za usiku haiwezi kukata umeme usiku sababu ya mgao. Mgao ni mchana na ndio umeme unatumika mwingi. Usiku umeme unatumika sana kwa ajili ya ulinzi ni kimaanisha taa, alarm na mawasiliano, lakini TANESCO wanakata umeme as if wanataka kumkomesha Waziri...
  19. Taasisi dhaifu ni kitisho kwa usalama wa nchi. Kwa hali ilivo, TANESCO ni hatari namba moja kwa usalama wa Tanzania, na serikali bado imelala fofofo!

    Umuofia kwenu....! Kati ya mwaka 2018 na 2020 Tanzania ilipitia changamoto za uhaba mkubwa wa Cement na bei kuanza kupanda kiholela. Lakini baada ya kulifuatilia suala lile, nikaja kugundua kwamba, kuadimika na kupanda kiholela kulisababishwa Zaidi na utekelezaji wa miradi mikubwa ya ujenzi...
  20. R

    Kwa wanawake; uko huru kutembea peke yako mtaani wakati wa mchana au usiku?

    Wakuu, Kila mtu anapenda akitoka kwenda mahali fulani ajisikie salama na awe huru kutoka sehemu moja au nyingine bila bugudha yoyote. Hii ni changamoto kidogo kwa wasichana/wanawake wanapotoka kwenda sehemu mbalimbali iwe ni kwaajili ya kutafuta riziki au mtoko wa sherehe, huku wakati wa usiku...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…