Huyu mwanamke ananipenda sana ila sijui kwanini alinisaliti, aliomba msamaha nikamsamehe yakaisha ila nikikumbuka naumia mno sometimes.
Ila siwezi kumuacha maana hata mimi nampenda sana yaani ila shida ni kwamba nitasahau lini haya maumivu?
Iko hivi!
Huyu mwamba Ali kuwa na Mpenzi wake ambaye Mwanachuo. Mwamba ni alisha maliza chuo kitambo kwa anapiga zake kinanda kwenye moja ya church hapa Town. Mwaka wa pili mwanzoni Manzi akadaka ujauzito. Akajifungua mwaka watatu mwanzoni.
Wakalea mpaka Manzi alipo hitimu chuo. Mwamba huduma...