Niko kwenye ndoa huu ni mwaka wa 7, katika kipindi chote hicho mambo yalikua mazuri, mume wangu alikuwa akinishirikisha kwa kila kitu na mara nyingi akinunua kitu chake ananunua na cha kwangu. Akinunua kiwanja kimoja, akaandika jina lake, kinachofuata kina majina yangu. Tuna nyumba mbili, ingawa...
Habarini ndugu zangu?
Kuna binti ambaye nimekaa nae kwenye uchumba kwa zaidi ya mwaka mmoja sasa. Ana miaka 24. Baada ya kupitia msoto wa kiuchumi kwa miezi miwili hivi, kiukweli amekuwa karibu na mimi kwa msaada wa fedha ndogondogo hizi bila shida. Jumapili iliyopita aliniomba tuonane kwa...
Habari za usiku huu wakuu, kuna mwanamke nimeishinae kwa muda wa miaka miwili, kutokana na tabia zake za ajabu ajabu siku hizi amebadilika sana, kinachonifanya nishindwe kufanya maamuzi nimemzoea sana mwanamke wangu amekuwa alikuwa malaya ila akaahidi kuwa atatulia na kuwa mwanamke bora...
Wakuu naombeni ushauri wako, sijui nifanye nini. Mimi ni binti wa miaka 23, nipo chuo mwaka wa pili naingia watatu. Naomba ushauri wako, mwaka jana nilikuwa na mpenzi wangu, ni mwanafunzi mwenzangu, lakini tukagombana tukaachana, na yeye akamchukua rafiki yangu. Nikiwa katika maumivu, nilikutana...
Mimi ni kijana mwenye miaka 20 toka nizaliwe sijawahi kuyafurahia mapenz ngoja niwape historia yangu kidogo kwenye mapenz mwaka 2019 nilienda kufanya kazi kwa kaka yangu Morogoro wilaya ya Malinyi pale dukan tulikuwa wafanyakaz watatu halafu wote ndugu katika wote mi ndo nilikuwa mdogo japo mi...
Tupo wapangaji wanne tunaoishi hapa. Hatuishi na mwenye nyumba tuko wapangaji tuu wenyewe. Mwenye nyumba yeye anaishi mkoa mwingine.
Sasa kuna mpangaji ambaye tulimteua awe in charge wa kukusanya bill za maji, taka, umeme etc. hapa tunapokaa.
Hivyo jamaa ana access ya mawasiliano ya wapangaji...
Ukiazima simu yake unataka kumpigia mtu au kuchek video naye utaona anajisogeza anahofu unaweza kwenda kusiko akaumbuka,wakati mwingine anakunyima,anaenda nayo kuoga.Ongeza nawewe tabia nyingine unazozijuwa.
Habari za muda huu,
Kama ilivyo ada na kawaida kwa sisi wanaume, tunapaswa kuendelea kukumbushana mambo ya msingi kwa ajili ya kutunza afya zetu za akili na uchumi, ili walau tuishi maisha marefu ingawa yamejaa taabu na mafupi. Ingawa inaonekana kuwa kuna baadhi yetu wanajisahau sana na wengine...
Wanawake ni wenye ujasiri sana. Watadhubutu kukupa changamoto katika maeneo mengi, ili kujaribu jinsi unavyokuwa dhaifu au imara.
Wanajua wanachofanya na watakusukuma hadi kufikia hatua ambapo utaanguka na bado kukataa kuwajibika.
Mwanamke ambaye anafungua miguu yake kwa mwanaume mwingine...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.