Ni matumaini yangu kila mmoja wetu ni mzima wa afya.
Kuna issue moja jamaa yangu kanisimulia na kuniomba ushauri nikashindwa hata pa kuanzia kumshauri asee.
Jamaa na mkew wako kwenye ndoa huu ni mwaka wa 5 wanaishi pamoja na wamejaaliwa kuwa na watoto wawili.
Jamaa anasema juzi jumapili wakt...
Ni mimi tu ninaemuomba mke wangu tendo la ndoa au tuko wengi kwangu imekuwa ajabu sana, kila ninapotaka tendo la ndoa nimuombe mke wangu tena inafika hatua ya kumbembeleza kabisa ile anipe mambo, kipindi ndoa mpya tulikuwa tunafanya kila siku ila now days mpaka uombe tena inafika kipindi tunakaa...
Habari wakuu jamani hapa ni ushauri wa kujenga tu ndio unahitajika.
Wakuu, mimi nimeoa nampenda sana mkewangu lakini hapa juzi kati nilichepuka na sikutumia kinga maana niliechepuka nae ni mtu wangu wa siku nyingi tu na ndio michezo yetu hio sasa kiukwel baada ya siku kupita nilianza kupata...
Kinachotuuma wanaume sio wewe kugawa nje hapana kinachoumiza ni vile mwanaume mwenzangu kuona utupu wako na kujua uzuri na udhaifu wàko wakati si mmiliki wa mali.
Sisi wanaume tukiwa faragha uwa tunapenda kumchora mwanamke maumbile yk na kumfanyia tathimini sisi wanaume hasa waume zenu...
Ikumbukwe, nimeanzisha nyuzi kadhaa kuhusu mimi na mke wangu mpaka ikafika hatua ya kumwachia nyumba (nyumba niliyojenga kabla ya kumuita na kumtafutia kazi). Uzi upo humu. Hata niliporudi, sikuwa nalala naye, ingawa hamu zilikuwepo. Tulipima, na alijuta, akijua kosa lake. Hata kama alikuwa na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.