Sabal kheri waungwana.
Nyakati fulani nilikuwa kwenye kijiwe kimoja tukibadilishana mawili matatu ya maisha na changamoto zake na kuangalia namna gani tunazikabili.
Katika maongezi hayo likaibuka suala mambo ya ndoa kama ilivyo kawaida kuwa na yenyewe ni sehemu ya changamoto kwenye maisha yetu...
Inasikitisha sana. Mbususu zinachakatwa sana nje ya ndoa hasahasa kwenye mtaa wangu. Nina mpango kusaidiana na jeshi la sungu sungu ili kuwakabili wanaume wenye tabia za kuchakata wake za watu ilihali wanajua wazi kuwa huyu ni mke wa mtu. Kwenye mtaa wangu si tu vijana, yaani hadi wazee wanaruka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.