usaliti kwenye ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nini kinasababisha baadhi ya wanawake walioko kwenye ndoa kuchepuka na vijana wadogo?

    Wanawake wa kwenye ndoa huenda wanaongoza kwa kuchepuka Yaani kama wewe ni una mchepuko wa kiume jitahidi sana kutumia condoms. Wanaume wanawake zenu wanachepuka. Kuweni makini na kwenye hayo magroup yao ya wanawake hali ni mbaya Unamkuta mtu anaomba ushauri kabisa "nataka nichepuke kisa...
  2. JamiiForums Tanzania Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenisaliti

    Habari za wakati huu wakuu, Mwanamke wangu niliyeishi naye kwa miaka mitatu amenifanyia jambo la kikatili sana katika maisha yangu. Ni mwanamke pekee niliyempeleka nyumbani kwetu kumtambulisha. Hatimaye siku ya jana nimeweza kujua ukweli kuwa amenisaliti. Nilimuaga kuwa nasafiri kikazi na...
  3. JamiiForums Tanzania Usaliti kwenye Ndoa: Jambo baya sana ambalo jamii inalichukulia kuwa la kawaida

    Sabal kheri waungwana. Nyakati fulani nilikuwa kwenye kijiwe kimoja tukibadilishana mawili matatu ya maisha na changamoto zake na kuangalia namna gani tunazikabili. Katika maongezi hayo likaibuka suala mambo ya ndoa kama ilivyo kawaida kuwa na yenyewe ni sehemu ya changamoto kwenye maisha yetu...
  4. JamiiForums Tanzania Ndoa za siku hizi hazina uaminifu hata kidogo

    Inasikitisha sana. Mbususu zinachakatwa sana nje ya ndoa hasahasa kwenye mtaa wangu. Nina mpango kusaidiana na jeshi la sungu sungu ili kuwakabili wanaume wenye tabia za kuchakata wake za watu ilihali wanajua wazi kuwa huyu ni mke wa mtu. Kwenye mtaa wangu si tu vijana, yaani hadi wazee wanaruka...
  5. JamiiForums Tanzania Mwanaume, ukiona tabia za Mwanamke zimekushinda muache aende na si kumpiga

    Kwa mliooa kama mke anachapwa sana, please move on. Mambo ya kupiga mwanamke yatakufikisha pabaya. Utaharibu future Yako.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…