usaliti wa mapenzi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Eli Cohen

    What made you end up cheating?

    1: He/She was not satisfying you sexually. 2: Trying a new experience. 3: You just enjoy sex with different partners. 4: You have high sex libido/sex drive. 5: Instability in your official relationship 6: You had no choice (return a favour, giving a bribe, etc) 7: He/She was not your right...
  2. Valentine Yusuph

    Nimebaki njia panda Juu ya kufanya maamuzi magumu kwenye mahusiano yangu ya mapenzi

    Nawashukuru kwa mawazo yenu nyote, nimepata maamuzi mazuri ya kuchukua. Nimegundua humu jf kuna watu hawana busara. Mtu akileta wazo unatukana kwanini!?
  3. Bullshit

    Nchi zinazoongoza kusalitiana kimapenzi kwa msaada wa ChatGPT

    Kulingana na tafiti mbalimbali, nchi zinazoongoza kwa viwango vya juu vya usaliti zinaweza kutofautiana kulingana na vigezo kama vile tafiti za mahusiano, viwango vya talaka, na utamaduni wa mahusiano katika jamii hizo. Hata hivyo, nchi zinazotajwa mara kwa mara kuwa na viwango vya juu vya...
  4. kingkongtz

    Mchumba wangu amenisaliti, nimeona picha akiwa na jamaa

    Kuna mwanamke nmekuwa nae kwenye mahusiano takribani mwaka na nusu na malengo yangu mwez wa 12 nikatoe mahari kwao, tulikuwa tumeshatambulishana kwahyo kwao wananifahamu na kwetu vile vile wanamfahamu, Kwa kumwelezea kdgo huyu bidada ni mpole,mtu wa dini sana na anazungumzika vzr kwa watu...
  5. Livanga

    Ni bora mwanaume anaekwenda kucheat na akarudi nyumbani. Kuliko mwanamke anayekufanyq ulee watoto ambao sio wako kwa maisha yako yote bila kujua

    This weekend nililetewa kesi moja ya mahusiano kuitatua. Wakati wa maongezo niligundia jambo ambalo lilinifanya niwaze na kujiuliza "Je si ni bora kuishi na mwanaume mchepukaji ila anahudimia familia yake kumjali, kumheshimu na kumpenda mke wake kuliko kuishi na mwanamke anayekufanya ulee watoto...
  6. Analogia Malenga

    Morogoro: Atuhumiwa kula njama kumuua mumewe ili ale raha na bodaboda

    Huyo ni mwalimu hapa Mang’ula kauawa kikatili na mkewe kapigwa na kitu kizito kichwani ubongo ukamwagika. Ni ukatili mkubwa na lengo lake awe huru kujivinjari na kijana wa nje ambaye ni Bodaboda. Na amezaa na huyo Boda mtoto mmoja wa mwisho katika watatu. Jana mwili umesafirishwa kwenda Ukerewe...
  7. Makonde plateu

    Wengine wakifurahia Valentine's Day, mimi naugulia maumivu ya kuchapiwa

    Daah maisha siyo fair na wala hayajawahi kuwa fair hata kidogo na hayatawahi kuwa fair hata kidogo as long as tunashaishi wacha tuendelea kuhustle. Si maana yaani bwana mwingine anacheka na wengine wanafurahi, yaani sio poa kabisa. Si mnakumbuka story yangu ta jana baada ya manzi wangu...
  8. Infinite_Kiumeni

    Sababu 6 kwanini wanawake/wake za watu hutoka nje na kufanya mapenzi na wanaume wengine

    Kwanza ijulikane kuwa kuna aina mbili za wanawake, wanawake wanaojiheshimu, wanaojithamini na kutunza utu wao kwenye jamii (wife materials) na wanawake wengine wote waliobaki. Wanawake wengine waliobaki ni rahisi kukusaliti kwa kuwa haridhiki, hawa ndio wale tunaambiwa tusioe/ tusitengeneze...
  9. Mbu

    Maishani...

    There was a blind girl who hated herself just because she was blind. She hated everyone, except her loving boyfriend. He was always there for her. She said that if she could only see the world, she would marry her boyfriend. One day, someone donated a pair of eyes to her and then she could...
Back
Top Bottom