Mkuu wa mkoa wa Dodoma, Rosemary Senyamule, leo tarehe 18 Oktoba, 2024 amempokea rasmi, Mkandarasi Kampuni ya DERM Group (T) Ltd; Kampuni ya ndani, iliyoshinda kandarasi ya Mradi wa Kusambaza Umeme kwenye vitongoji 150 vya majimbo kumi (10) ya mkoa wa Dodoma, Mradi unaotarajiwa kutekelezwa...