Kwa sasa, vifaa vingi ambavyo vinatumia port ya USB Type C ambazo ni latest, zinatumia aina ya USB Type-C 3.2 ambayo ina Max speed ya 20GB kwa sekunde. Teknolojia inazidi kubadilika na dunia imeingia katika mfumo mpya wa USB 4 na sasa ni toleo la 2.0.
The USB Promoter Group ni kikundi cha...