Wakuu,
Mimi ni kijana wa makamo, on my early 30s, sina familia (mke & mtoto), vipaumbele vyangu kwenye maisha ni kujitoa kwenye dimbwi la umasikini uliokithiri kwenye familia zetu hizi za kiswahili, ukijumlisha nilishawahi kupigwa matukio huko nyuma na wachumba kwa kukosa vijisenti hata vya...