Wakuu Jana tulikuwa na part flan maghton actually nlialika masela tule bujiii na kuchoma, na kama unavyojua sehemu kukiwa na idadi kubwa ya masela stori ni mpira na madem japo Kuna wachache waliokuja na manzi zao.
Katika ubishani mchizi mmoja(simtaji jina najua yupo Jf) akawa ndio spika manaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.