Habari wana JF, kumekuwa na malalamiko ya watu wengi sana kuhusu system ya ajira portal na hata pale unapokuwa na changamoto fulani na kuhitaji msaada kutoka kwao kupitia "help desk" numbers imekuwa changamoto kuwapata.
Utapiga simu muda wote zinatumika, labda wanakuwa very busy kuwahudumia...
Wakuu mpaka Leo huwa najiuliza Shunie alienda wapi loo!! Huyu mtu tulipendana Sana humu JF
Enzi hizo ndiyo alikuwa bae wangu humu kila Uzi lazima atupie comment kipindi hicho humu JF kulikuwa na ladha ya kipekee Sana.
Shunie popote upatapo ujumbe huu nakutafuta mwenzio ni Kitambo sana...
Mwenye kujua format ya username kwa non-necta applicant wa mkopo bodi ya mikopo elimu ya juu anisaidie tafadhali, mfano format ya necta applicant ni S0143.0078.1990.
Je ya Non Necta ikoje?
Moderator au wataalam wowote humu ndani naomba mnisaidie.
Frankly naamini kabisa Kuna mtu kadukuwa account yangu na anaifahamu vyema, obviously nimechukia sana hii issue, ni mtu wangu wa karibu sana It seems that kani-target na kafanikiwa kujua ID yangu humu maana sina MAZOEA ya Kulogout...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.