ushabiki wa soka

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lupweko

    Tusiwekeze sana maisha yetu kwenye ushabiki wa soka, tuzikumbuke familia zetu

    Wachezaji, makocha, mameneja, maafisa habari na waajiriwa wengine pamoja na maafisa ubashiri wao wana kila sababu ya kuwekeza huko maana wanaingiza moja kwa moja kipato chao kupitia soka. Mashabiki siku zote huwa ndio watoaji; wanatoa fedha kwa ajili ya kiingilio, wanatoa muda wao, wanatoa...
  2. Eli Cohen

    Ushabiki wa soka bongo umegubikwa na ushamba na haswa watu wanashabikia kwa msongo (depression)

    Yani mtu kafungwa tu jana.... "oooh kocha afukuzwe" "Mpira una siasa tumefanyiwa siasa" "Hii yanga ya sasa ikikutana na simba inafungwa 20" Yani hapo na hapo mbongo kashasahau kuwa wameshashinda ligi mfululizo zaidi ya mara x2 , wamemfunga mpinzani mfululizo na wametoka kumfunga tu juzi hapa...
  3. Nikifa MkeWangu Asiolewe

    Haya machungu tuliyonayo kwenye hizi timu. Tungekuwa nayo katika kupambania Nchi yetu hakika tungekuwa mbali sana

    Inasikitisha sana kuona kijana analia kisa timu yake imefungwa. Lakini huyo huyo kijana hutamuona kamwe katika harakati za kupambana na kupinga viongozi wanao kula pesa za uma!! Unadhani kama sio sisi Nchi yetu itajengwa na nani? Nani atapambana Kwa niamba yetu kuhakikisha tuna time huru ya...
Back
Top Bottom